Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Straika mpya aanza kazi Yanga

Hafiz Konkoni Kambini Mshambuliaji wa Yanga, Hafiz Konkoni

Mon, 31 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Julai 29 Saa tatu usiku Klabu ya Yanga ilimtangaza Mshambuliaji Hafiz Konkoni raia wa Ghana kutoka Klabu ya Bechem United kujiunga na timu hiyo akichukua nafasi ya Fiton Mayele alietimkia Pyramids FC ya nchini Misri.

Sasa mara moja Straika huyo ametinga katika kambi ya maandalizi ya Yanga iliyopo Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam na kujiunga na wenzake kama anavyoonekana pichani.

Je unamtabiria nini Straika mpya wa Yanga?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: