Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Skudu" kiongozi Wizara ya raha Yanga, cheki vitu vyake (+Video)

Skudu Makudubela Skudu Makudubela

Sat, 22 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukiambiwa Wizara ya raha imehamia Yanga katika nyanja ya Soka usikatae hata kidogo.

Hiyo ni baada ya Yanga kukamlisha usajili wa Winga kutoka Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini, Mahlatse Makudubela maarufu kama "Skudu".

Skudu ana uwezo wa hali ya juu kucheza na mpira na kutoa burudani kwa Mashabiki wanaopenda "tuvitu vitu" Uwanjani.

Tanzaniaweb tumekuletea mkusanyiko wa Clip za Mchezaji huyo akiwatoa jasho mabeki wa Timu pinzani.

Kwa mara ya kwanza Skudu ataonekana leo dhidi ya Kaizer Chiefs katika kilele cha Siku ya Mwananchi Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Tazama vitu vya Skudu kwenye Video hapa chini halafu utupe Comment yako kuelekea msimu ujao;

View this post on Instagram

A post shared by Van_for_sports_ (@van_for_sports_)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: