Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Skudu Makudubela arudi mzigoni Yanga, atoa kauli hii (+Video)

Skudu Raha Winga wa Yanga, Skudu Makudubela

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kupata majeraha katika Michezo ya Fainali ya Ngao ya Jamii Jijini Tanga dhidi ya Azam FC.

Winga wa Yanga Skudu Makudubela hakuonekana Uwanjani katika michezo iliyofuata ya Timu ya Yanga ikiwemo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Baadae ziliztoka taarifa kuwa amerudi kwao Afrika ya Kusini kwa ajili ya kushughulikia Pasi yake ya kusafiria.

Sasa Taarifa ni kuwa Winga huyo amerejea na tayari yupo katika Kambi ya Yanga iliyopo Avic Town na ametoa neno kwenda kwa Wananchi Yanga.

Yanga leo wanacheza na JKT Tanzania mchezo wa Ligi na huenda winga huyo akawa ni sehemu ya Kikosi hii leo.

Huyu hapa Skudu akitoa ujumbe kwa Wapenzi na Mashabiki wa Yanga;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: