Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaongoza kwa hat-trick

Baleke Robertinho E Baleke na kocha Robertinho

Sun, 12 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miamba ya soka Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC inaongoza kwa wachezaji wake kufunguka hat-trick msimu huu wa 2022/23.

Kati ya hat-trick sita zilizofungwa msimu huu nne zinatoka Msimbazi.

Mshambuliaji wa Simba, John Bocco amepiga hat-trick mbili ikiwa ni dhidi ya Ruvu na Prisons.

Ntibazonkiza na Jean Baleke wakipiga moja moja na hivyo kufikisha idafi ya nne.

Fiston Mayele (Yanga Sc vs Singida BS)

John Bocco (Simba Sc vs Ruvu Shooting)

John Bocco (Simba Sc vs Tanzania Prisons)

Said Ntibazonkiza (Simba Sc vs Tanzania Prisons)

Ibrahim Mkoko (Namungo vs KMC)

Jean Baleke (Simba vs Mtibwa Sugar).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: