Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yanasa mrithi sahihi wa Mkude

KENYAA Hamis Abdallah

Thu, 20 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba imenasa mrithi wa Jonas Mkude baada ya kunasa saini ya kiungo Mtanzania aliyekuwa Tusker, Hamis Abdallah.

Simba imenasa mrithi wa Jonas Mkude baada ya kunasa saini ya kiungo Mtanzania aliyekuwa Tusker, Hamis Abdallah. Achna na uwezo wake wa kuharibu mipango ya wapinzani kwa ukabaji wake wa kibabe ndani ya uwanja Ujio wa Hamis utaongeza chachu ya ushindani kwenye eneo la kiungo la Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: