Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watua Dar kibabe, Mastaa full shangwe

Simba Watua Dar Msafara wa kikosi cha Simba ukiwasili Jijini Dar

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kimerejea nchini Alfajiri ya leo baada ya kambi ya wiki tatu Jijini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya na Jumapili kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Zambia, Power Dynamo katika Simba Day Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam

Simba waliweka Kambi ya wiki tatu nchini Uturuki. Tazama hapa chini msafara wa kikosi cha Simba ukiwasili Jijini Da es Salaam.













Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: