Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watangaza kumbakisha Kibu Denis Msimbazi

Kibu 2026 Kibu Denis

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kufunga bao moja tu kwenye Ligi Kuu bara msimu uliopita, Kibu Dennis amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Simba Sc kwa miaka miwili zaidi mpaka 2026.

Licha ya kufunga bao moja tu kwenye Ligi Kuu bara msimu uliopita, Kibu Dennis amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia Simba Sc kwa miaka miwili zaidi mpaka 2026. “Kibu D ataendelea kusalia klabuni baada ya kuongeza mkataba mpya” imesema taarifa ya Simba Sc kwenye mitandao ya kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: