Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wamtambulisha Golikipa mpya kwa Mkapa (+Video)

Hussein Ael Msimbazi Golikipa Mpya wa Simba SC, Hussein Abel

Sun, 6 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili Golikipa wa Kmc Hussein Abel kwuziba nafasi iliyoachwa wazi na Jefferson Luiz aliyebainika kuwa na Majaeraha.

Hussen Abel amesaini mkataba wa Miaka 2 wa kukipiga Simba

Tazama Video hapa chini akitambulishwa katika kikosi cha Simba SC kuelekea msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: