Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waendelea kutembeza kichapo Ligi Kuu

IMG 5435.jpeg Wachezaji wa Simba SC wakishangilia

Sun, 20 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washindi wa Ngao ya Jamii, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Dodoma Jiji FC mabao 2-0 leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Washindi wa Ngao ya Jamii, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Dodoma Jiji FC mabao 2-0 leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC yamefungwa na washambuliaji wake wa kigeni, Mkongo Jean Othos Baleke dakika ya 43 na Mzambia, Moses Phiri dakika ya 55 huo ukiwa ushindi wa pili mfululizo ndani ya michezo miwili ya mwanzo baada ya kuichapa Mtibwa Sugar 4-2 Morogoro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: