Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba ndiyo timu yenye thamani kubwa zaidi Tanzania

Simba Yanga Caf Rank Simba ndiyo timu yenye thamani kubwa zaidi Tanzania

Tue, 4 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi nchini Tanzania, ikiwa na thamani ya TZS bilioni 5.70 kwa mujibu wa mtandao wa ‘transfermarkt.’

Simba SC ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi nchini Tanzania, ikiwa na thamani ya TZS bilioni 5.70 kwa mujibu wa mtandao wa ‘transfermarkt.’ Katika orodha ya vilabu vinne vyenye thamani kubwa zaidi nchini, nafasi ya pili inashikwa na Yanga (TZS bilioni 5.50), Azam FC (TZS bilioni 3.92) na Namungo FC (TZS milioni 510.85), Singida Big Stars (Tsh milioni 384).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: