Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba ndio kinara wa "Thank you"

Thank You Beno, Simba Wampa Mkono Wa Kwaheri Beno Kakolanya

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba yaongoza kwa 'Thank you'kwenye msimamo wa Ligi ya mitandaon iikifikisha idadi ya watu 12 huku ikufumua kikosi kwaajili ya msimu ujao.

Simba imepitisha panga kwa Beno Kakolanya, Erasto Nyoni, Mohamed Ouattara, Jonasi Mkude, Augustino Okra, Gadiel Michael, Nelson Okwa, Victor Akpan hii ni baada ya kumaliza msimu bila taji Azama walianza kufumua kikosi na benchi la ufundi mapema sana kabla ya timu yoyote Ligi Kuu Bara ambapo ilianza na kocha wa magoli kipa Daniel Cadena na kufikisha idadi ya watu 10

Coastal Union yashika nafasi ya tatu ikwaimegawa mkono wa kwaheri kwa wachezaji saba saw na Namungo waliomaliza nafasi ya tano.

Mabingwa watetezi Ligi Kuu wao wakishika nafasi ya nne kwa kupitisha panga kwa watu 6 wachezaji na benchi la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi

Geita Gold ikaachana na Kocha Mkuu wa timu hiyo Fred Minziro baada ya mkataba wake kumalizika, KMC kupitisha panga kwa mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: