Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kutocheza mchezo wowote Ligi Kuu, CAF waagiza

CAF Motsepe.jpeg Wajumbe wa CAF wakiwa katika Kikao muhimu

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira Barani Afrika, CAF limevitaarifu Vyama vyote nane (8) Wanachama kuwa vilabu vyao ambavyo vitashiriki Ligi ya Soka Afrika (Super League) kutocheza mchezo wowote wa Ligi Kuu au Mashindano yeyote kati ya Oktoba 20 hadi Novemba 11.

CAF iliwataka watengeneze kalenda zao vizuri ili kuziondoa timu hizi ambazo zitashiriki Ligi ya Soka Afrika.

Hivyo Basi Simba SC haitacheza mashindano yoyote ya kitaifa kuanzia Oktoba 20 hadi Novemba 11 Kipindi hiki kitamwezesha kucheza Ligi ya Soka ya Afrika (Super League).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: