Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Yazidi kuwaburuza Yanga kura za mashabiki

Azamsports2 286322773 434276254814980 3673265618091854271 N Picha halisi ya shindano

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Klabu ya Simba, imezidi kuwaacha vibaya wapinzani wao wa Yanga kwenye Shindano la Nani Zaidi ambalo linaendelea kwa mashabiki na wanachama wa vilabu hivyo kuchangia fedha kwa ajili ya vilabu vyao. Awali, mpango huu ulianza kwa Yanga kuwaburuza Simba lakini ghafla kibao kiageuka na kwa zaidi ya siku kadhaa sasa, Simba wameendelea kuongoza na matokeo ya leo Juni 8, 2022 yanaonesha Simba ana Kura 50,284 pesa shilling 50,283,995 huku Yanga wakiwa na Kura 37,110 na pesa shilingi 37,109,800. Yanga wameahidi kupindua meza ndani ya siku tatu zijazo, ni suala la muda wacha tuone mashabiki wa timu hizi wanavyochuana.

Chanzo: Tanzania
Related Articles: