Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC haoo Kambi Kenya

Simba Hsgsgsh.jpeg Wachezaji wa Simba SC

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kinatarajia kuweka kambi nchini Kenya ya kujiandaa na mchezo wao wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia,

Simba SC watakapokuwa nchini Kenya wanatarajiwa Kucheza michezo Mitatu ya kirafiki dhidi ya

FC Gor Mahia

Polisi ya Kenya

Kakamega Home boyz/Bandari Fc

Mchezo wa Simba SC dhidi ya Power Dynamos utachezwa Simu ya Jumamosi ya Sept 16 pale Ndola, Zambia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: