Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki Simba afata burudani Siku ya Wananchi kwa Mkapa

Shabiki Wa Simba Kwa Mkapa Shabiki wa Simba akiwa katika Tamasha la Yanga Uwanja wa Mkapa

Sat, 22 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ndio maana halisi ya michezo ni urafiki na sio uadui. Shabiki mmoja alietinga uzi wa Simba ameonekana akipiga picha na mashabiki wa Yanga katika kilele cha Tamasha la Yanga Uwanja wa Mkapa.

Bila shaka Shabiki huyo amefata burudani katika siku ambayo Yanga wanakipiga na Kaizer Chiefs mchezo wa Kirafiki.

Unadhani shabiki huyu yuko timu gani leo kati ya Yanga na Kaizer Chiefs? Bashiri

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: