Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#SIMBADAY: Hiki hapa kikosi cha Simba kilichoanza vs Power Dynamo

Onana X Chama Chama na Onana

Sun, 6 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na Power Dynamos kutoka nchini Zambia katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki.

Mchezo huo ni katika kuadhimisha kilele cha Tamasha "la Simba Day" linalofanyika leo Agosti 6 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Simba huitumia Siku hii kutambulisha nyota wake watakaotumika katika msimu ujao 2023/24.

Hiki ndicho kikosi cha Simba SC kinachoanza mchezo wa leo dhidi ya Power Dynamos;

Salim

Kapombe

Zimbwe Jr

Che Malone

Inonga

Kanoute

Mzamiru

Onana

Chama

Kibu

Saido

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: