Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#SHIRIKISHOAFRIKA: Hiki hapa kikosi cha Yanga vs USM Algiers

Kikosi Le Yanga Yanga vs USM Algiers

Sun, 28 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kutengeneza historia kwa Klabu na Taifa kuikabili USM Algiers ya Algeria katika mchezo wa Mkondo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huo unapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam umevuta hisia za Watanzania wengi wanaotamani kuona Historia ikiandikwa kwa Kombe la CAF kutua Tanzania.

Yanga wanahitaji ushindi katika mchezo wa nyumbani ili kujiweka katika mazingira ya kubeba Ubingwa nada ya Juni 3 siku ambayo itapigwa Fainali ya mkondo wa pili nchini Algeria.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza mcjezo wa leo;

Djigui Diarra (GK) Kibwana Shomari Ibrahim Bacca Bakari Mwamnyeto (C) Yannick Bangala Litombo Dickson Job Stephane Aziz Ki Mudathir Yahya Tuisila Kisinda Kennedy Musonda Fiston Kalala Mayele

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: