Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Yanga awakumbuka Viongozi wa zamani

Hersi X Katundu.jpeg Rais Yanga awakumbuka Viongozi wa Zamani

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na kuzungumza mambo mbali mbali kuhusu klabu hiyo.

Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na kuzungumza mambo mbali mbali kuhusu klabu hiyo. Mzee Jabir Katundu pia amewahi kuwa Katibu mkuu wa Yanga kati ya mwaka 1962 na 1966 chini ya Mwenyekiti Mohamed Mabosti, kabla ya kuwa Mwenyekiti kuanzia mwaka 1992 hadi 1996.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: