Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Yanga aitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka

Arafat Haji Na Hersi Said Rais wa Yanga, Injinia Hersi na Makamu wake Arafat Haji

Sun, 28 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, Hersi Ally Said ameitisha Mkutano Mkuu wa mwaka utakaofanyika Juni 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

Tangazo la Mkutano huo linakuja Saa chache kabla ya mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga ikimemyana na USM Alger leo Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Soma hapa chini kwa urefu taarifa ya Mkutano wa Klabu ya Yanga pamoja na ajenda muhimu zitakazokwenda kujadiliwa katika Mkutano huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: