Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Yanga agoma kuvaa bukta "Aziz KI Day"

Aziz Ki Yanga Hersi Rais wa Yanga, Injinia Hersi akiwa na Aziz KI

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Young Africans Sports Club, Hersi Said amesema atakwenda na funguo katika mechi ya timu yake dhidi ya El Merrikh ya Sudan Jumamosi.

Hersi amesema atafanya hivyo ili kuungana na mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kwa ajili ya siku ya Aziz KI Day

“Pale jukwaani tunapokaa viongozi kuna taratibu zake za mavazi, ni ngumu kuvaa bukta, sijui nisemaje, lakini niwahakikishie nitakuwa na funguo yangu mkononi” alisema Hersi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: