Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi Dar: Yanga marufuku kupiga fataki kwa Mkapa

YANGA MASHABIKI ER.jpeg Yanga marufuku kupiga fataki kwa Mkapa

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es salaam linawatahadharisha baadhi ya mashabiki wenye tabia ya kuwasha fataki na baruti uwanjani, kurusha chupa au kitu chochote kinachoweza kuhatarisha usalama uwanjani hapo,kwani hayo ni baadhi ya makosa ya mambo ya kiusalama kwenye viwanja vya soka.

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es salaam linawatahadharisha baadhi ya mashabiki wenye tabia ya kuwasha fataki na baruti uwanjani, kurusha chupa au kitu chochote kinachoweza kuhatarisha usalama uwanjani hapo,kwani hayo ni baadhi ya makosa ya mambo ya kiusalama kwenye viwanja vya soka. Tahadhari hiyo imetolewa mapema ili kuepusha taharuki au sintofahamu pindi Maafisa wa Usalama wakija watia mbaroni aiina ya mashabiki watakaopelekea fujo za namna hio ili kuhakikisha raia wote wawe katika hali ya usalama wao na mali zao pindi ukizingatiwa utulivu kwa kufuata maelekezo hayo kutoka jeshi hilo kanda maalum.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: