Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NusuFainaliCAFCC: Kikosi cha Yanga dhidi ya Marumo Gallants

YANGA 10g Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Marumo Gallants

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga inashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuikabili Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini.

Mchezo huo wa hatua ya Nusu Fainali unapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Hii ni mara ya kwanza kwa Yanga kufika hatua ya Nusu Fainali na pengine wanaweza andika historia kwa Klabu yao ikiwa watatinga hatua ya Fainali.

Hiki hapa kikosi cha Ynga kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: