Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni vita ya Fiston Mayele na Ranga Chivaviro

Mayele Yanga Chivaviro Ni vita ya Fiston Mayele na Ranga Chivaviro

Tue, 9 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Klabu ya Yanga wakijiwinda kukabiliana na Marumo Gallants kwenye mchezo wa nusu fainali CAFCC, vita nyingine itakuwa ni ya kuwania kiatu cha dhahabu kati ya Fiston Kalala Mayele na Ranga Chivaviro.

Mpaka sasa kila mmoja amefunga magoli matano katika michezo 8 kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali ya michuano hiyo.

Nani kung'aa kwa Mkapa Jumatano hii?

Chivaviro vs Al Akhdar - mabao 2

Chivaviro vs FC Saint Eloi Lupopo - mabao 2

Chivaviro vs Pyramids - bao 1

Mayele vs AS Real Bamako - bao 1

Mayele vs AS Real Bamako - bao 1

Mayele vs US Monastir - bao 1

Mayele vs Rivers - mabao 2.

WAFUNGAJI BORA LIGI KUU NBCPL

Fiston Mayele - bao 16

Moses Phiri - bao 10

Saido - bao 10.

WAFUNGAJI BORA LIGI KUU PSL

Peter Shalulile - bao 12

Ranga Chivaviro - bao 10.

REKODI ZA YANGA NA MARUMO

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: