Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngushi atupia Hat-trick Avic Town

Crispin Ngushi Bao 3.jpeg Crispin Ngushi

Sun, 24 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Yanga Crispin Ngushi ametupia mabao matatu (Hat-trick) katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika kambi ya timu hiyo Avic Town.

Huu ulikuwa ni Mchezo kwa Wachezaji wa Yanga SC ambao hawakupata nafasi ya kucheza kwenye mechi dhidi ya Namungo walicheza mchezo wa kirafiki.

FT' Yanga Sc 3 - 0 Yanga Youth (B)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: