Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NGAOYAJAMII: Hivi hapa vikosi vya Simba vs Singida vinavyoanza mchezo wa leo

Simba Vs Singida FG #NGAOYAJAMII:Hivi hapa vikosi vya Simba vs Singida vinavyoanza mchezo wa leo

Thu, 10 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana Agosti 9 kushuhudia mechi ya kibabe hatua ya mtoano kuwania Fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Azam FC.

Leo Agosti 10 kazi inahamia kwa wababe wawili Simba vs Singida Fountain Gate katika Uwanja wa Mkwakwani.

Simba na Singida watapambana kutafuta nafasi ya kucheza Fainali na Yanga ambao jana walipata ushindi dhidi ya Azam FC.

Hivi hapa vikosi vya Simba vs Azam vinavyoanza mchezo wa leo;



Kwa upande wa Singida wao wataanza hivi

Beno Kakolanya

Kelvin Kijiri

Gadiel Michael

Biemes Carno

Abdulmajid Mangalo

Yusuf Kagoma

Morice Chukwu

Duke Abuya

Dickson Ambundo

Francy Kazadi Kasengu

Marouf Tchakei

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: