Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wa mtoto wa Sure Boy azikwa

Sure Boy Sg1 Mwili wa mtoto wa Sure Boy azikwa

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwili wa mtoto wa kiungo wa Yanga, Salum Abubakar 'Sure Boy' aitwaye Feisal Salum Abubakar 'Sure Boy Jr' umezikwa leo Jumatano, Machi 7, 2023, Magomeni jijini Dar es Salaam.



Viongozi wa Young Africans SC wakiongozwa na Rais Hersi Ally Said leo mchana walishiriki kwenye mazishi ya kumuaga mtoto wa Sure Boy.

Sure Boy Jr amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: