Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamba huyu kumrithi Nabi Yanga?

Josef Vukusic D Mwamba huyu kumrithi Nabi Yanga?

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imeanza mipango ya kupata kocha mpya mwenye uwezo kufanya kama aliyoyafanya Nasredine Nabi alieondoka na kocha Josef Vukusic raia wa Slovakia ndio anapewa nafasi zaidi ya kuwa mrithi wa Nabi.

Vukusic amewahi kufundisha vilabu vingi tu barani Africa hususani ligi kuu ya South Africa.

Amewahi kupita katika vilabu vingi vikiwemo Amazulu ya South Africa, na vilabu vingi vya kwao Slovakia na mara ya mwisho kaifundisha klabu ya kwao Slovakia inayoitwa KOCISE FC.

Vukusic mweny miaka 58 ana Leseni ya UEFA Pro License A ambayo alikuwa nayo Pro Nabi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: