Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msiba mwingine Simba SC

Said Rubeya Afariki Mwanachama Mwandamizi na Katibu Mwenezi wa zamani wa Simba Said Rubeya

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanachama Mwandamizi na Katibu Mwenezi wa zamani wa Simba Said Rubeya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na maziko yatakuwa leo jioni saa Kumi katika Makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam.

Mwanachama Mwandamizi na Katibu Mwenezi wa zamani wa Simba Said Rubeya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na maziko yatakuwa leo jioni saa Kumi katika Makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. Mtoto wa Marehemu Aristide Rubeya ndiye aliyethibitisha kifo cha mzee wake. “Baba amefariki Mkeyenge na Msiba utakuwa nyumbani Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Msimbazi (Masjid Idrissa)”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: