Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morrison ammwagia sifa Skudu Makudubela

Morrison Skudu28242 Morrison na Skudu.

Thu, 20 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa winga wa Yanga SC, Bernard Morrison amemwagia sifa kedekede winga mpya wa klabu hiyo, Mahlatse Makudubela almaarufu Skudu' akidai amejifunza mengi kutoka kwake na kuongeza kuwa yeye ni shabiki wake namba moja.

Aliyekuwa winga wa Yanga SC, Bernard Morrison amemwagia sifa kedekede winga mpya wa klabu hiyo, Mahlatse Makudubela almaarufu Skudu' akidai amejifunza mengi kutoka kwake na kuongeza kuwa yeye ni shabiki wake namba moja. "Ni furaha ilioje... hakuna haja ya kuzungumza mengi kwa sasa. Baadae nitazungumzia jinsi ninavyojivunia kukuleta hapa. Nenda ioneshe Tanzania kile ulichonifundisha. Mimi ni shabiki wako namba 1. NAKUPENDA KIJANA WANGU." ameandika Morrison kwenye ukurasa wake wa mitandao ya kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: