Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morrison aanza mazoezi mepesi

Morrison Aanza Mazoezi Mepesi Morrison aanza mazoezi mepesi

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Yanga, Bernard Morrison ambaye atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kupata jeraha la nyonga, ameanza mazoezi ya peke yake kujiweka sawa baada ya kubaki Dar.

Winga wa Yanga, Bernard Morrison ambaye atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kupata jeraha la nyonga, ameanza mazoezi ya peke yake kujiweka sawa baada ya kubaki Dar. Yanga imeenda Tunisia kwa ajili ya mechi ya kwanza Kombe ka Shirikisho Afrika katika hatua ya makundi dhidi ya US Montasir itakayochezwa Jumapili Februari 12 mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: