Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji: Nimetoa Bilioni 3 za Usajili Simba SC

Mo X Miquissone Mo Dewji: Nimetoa Bilioni 3 za Usajili Simba SC

Thu, 10 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoa taarifa kuhusiana na baadhi ya ‘timu’ kutowasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni kutocheza mchezo wa Ngao ya Jamii.

Rais wa heshima wa ‘klabu’ ya Simba Mohammed Dewji amevunja ukimya kupitia mitandao yake ya kijamii amefunguka na kuandika,

“Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, isitokee kwamba mtu aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: