Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude atoa kauli nzito baada ya kutua Yanga

Mkude Simba Ss Mkude atoa kauli nzito baada ya kutua Yanga

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Yanga SC, Jonas Mkudde ametoa kauli yake ya kwanza mara baada ya kujiunga na miamba ya soka nchini Yanga Sc.

Ikumbukwe kuwa, Mkude ameitumikia Simba kwa takribani miaka 13 tangu alipojiunga nayo akiwa mdogo mpaka hivi karibuni ambapo klabu hiyo ilitangaza kuachana naye.

"Ninapolazimika kufanya maamuzi magumu, huwa naisikiliza roho iliyondani yangu inachotaka.Roho hiyo ilikuwa ni Yanga tu," amesema Mkude.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: