Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude aanza kazi rasmi Yanga

Mkude Yanga Ers Mkude aanza kazi rasmi Yanga

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mpya wa Yanga, Jonas Mkunde ameanza mazoezi na klabu yake hiyo mpya katika maandalizi kuelekea ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Mkude amesajiliwa na Yanga hivi karibuni baada ya kuachwa na klabu yake ya Simba aliyoitumikia kwa mafanikio makubwa kwa miaka 13 akiwa ndiye mchezaji pekee mkongwe Msimbazi.

Mazoezi ya Yanga yanaendelea katika kambi yao waliyoiweka Avic Town, Kigamboni jijini dar es Salaam chini ya kocha mpya Miguel Gamondi na benchi lake la ufundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: