Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgunda agomea msamaha wa Ally Kamwe

Mgunda Amekabidhi Kwa Heshima Kubwa.png Mgunda agomea msamaha wa Ally Kamwe

Sat, 27 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha msaidizi wa Timu ya Simba Juma Ramadhan Mgumda amesema kuwa yeye Hawezi kupokea msamaha wa Afisa Habari wa Yanga Alikamwe aliomuomba Kupitia Mtandao ya Kijamii Kwa sababu yeye sio mtu wa Mitandao, amemwambia Alikamwe amfate anapokaa.

Kocha msaidizi wa Timu ya Simba Juma Ramadhan Mgumda amesema kuwa yeye Hawezi kupokea msamaha wa Afisa Habari wa Yanga Alikamwe aliomuomba Kupitia Mtandao ya Kijamii Kwa sababu yeye sio mtu wa Mitandao, amemwambia Alikamwe amfate anapokaa. Kamwe alimfananisha Juma Mgunda na andazi wakati akihamasisha mashabiki wa Yanga katika viwanja vya Mbagala Zakhem wajitokeze kwenye mchezo wao wa fainali ya CAFCC dhidi ya USM Alger utakaopigwa kesho katika Dimba la Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: