Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meneja Power Dynamos awachimba mkwara Simba SC (+Video)

Manager Power Dynamos Meneja Power Dynamos awachimba mkwara Simba SC

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Klabu ya Power Dynamos amesema wamejipanga vyema na wana uhakika wa ushindi kwenye mchezo wa marejeano Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba utakaochezwa Oktoba 01, 2023 katika uwanja wa Azam Complex.

Mchezo wa kwanza uliochezwa katika Uwanja wa Levy Mwanawasa Zambia uliisha kwa sare ya mabao 2-2 mabao ya Simba yakifungwa na Clatous Chama.

Katika mchezo huo ili kufuzu hatua ya Makundi ligi ya Mabingwa Afrika Simba atatakiwa kupata ushindi wowote.

Tazama Video hapa chini kusikia alichokisema Meneja huyo;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: