Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchengerwa mgeni rasmi siku ya Mwananchi

Mchengerwaaaaaaa Waziri wa Maliasili na Utalii Nchini Tanzania, Mohamed Mchengerwa

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuwa, Waziri wa Maliasili na Utalii Nchini Tanzania, Mohamed Mchengerwa ndiye atakuwa mgeni rasmi kesho kwenye Kilele cha Wiki ya Mwananchi pale Benjamini Mkapa July 22- 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: