Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele awapiga dongo Azam baada ya kipigo cha Yanga

Mayele Awapiga Tena Dongo Azam Baada Ya Kichapo Fiston Mayele

Thu, 10 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya nchini Misri amewapiga kijembe Azam baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Yanga jana Agosti 9 Uwanja wa Mkwakwani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Mayele ameposti Picha akiwa GYym anafanya mazoezi na kuandika;

"hakuna kupowa sio Kama wale ukwaju"

Katika mchezo huo Azam walikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga yakifungwa na Aziz KI na Clement Mzize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: