Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele ampa maua yake Mwamposa

Mayele Mwamposa Mayele akiwa na Mwamposa

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa FC Pyramids, Fiston Mayele amemshukuru Mtumishi wa Dini Boniphace Mwamposa kwa kipindi chote alichokuwa Tanzania.

Katika Chapisho lake leo Agosti 14 Mayele ameandika;

"Napenda kumshukuru Apostle Mwamposa kwa maombi yake juu yangu na familia yangu katika kipindi hiki chote nilichokuwepo hapa Tanzania. Hakika amekua mtu muhimu sana kwangu. Mungu azidi kumbariki Baba Mwamposa".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: