Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele: Hawa Simba mbona kazi imeisha!

Mayele Yanga 170x650 Fiston Mayele

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Fiston Kalala Mayele rqiq wa Congo DR amesema ushindi kwenye mchezo wa kesho ni kama funga kazi kwao kwenye mbio za ubingwa.

Staa huyo wa Yanga anaongoza mbio za ufungaji bora akiwa na mabao 16 mpaka sasa amesema pointi 3 za kesho dhidi ya Simba zitaongeza ‘gape’ ya Pointi 11 hivyo itakuwa ngumu sana kutoka kileleni.

Yanga sasa hivi tunaongoza Ligi tukiwa na pointi 68 kwenye mechi 25 tulizocheza huku Simba anayekamata nafasi ya pili akiwa na pointi 60.

“Ni mchezo mkubwa na muhimu kwetu kwenye mbio za Ubingwa wa Ligi msimu huu. Tunapaswa kuzicheza kwa uangalifu mkubwa sana dakika 90 za kesho. Tukifanikiwa kuwa na nidhamu ya mchezo na kujituma, pointi 3 za kesho ni funga kazi kwetu,” alisema Mayele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: