Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa Yanga watengewa Milioni 200

Yanga Ngao Ya Jamii 2023 24 Tt Mastaa Yanga watengewa Milioni 200

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Iko hivi. Saa chache kabla ya Yanga kushuka uwanjani juzi walikutana na rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said ambaye kwa takribani wiki tatu alikuwa Ulaya kwa mapumziko mafupi.

Injinia Hersi juzi alitua Tanga kama sapraizi akilazimika kusafiri kwa ndege kuiwahi timu.

Kwenye kikao hicho kati yake na wachezaji akawapa taarifa njema kwamba mechi zao mbili tu wakishinda zote kuanzia ile ya jana walioichapa Azam, kisha ile ya fainali watajihakikishia bonasi ya Sh 200 milioni.

Taarifa hizo zikawapa mzuka wachezaji wa timu hiyo ambapo walipofika uwanjani wakauwasha moto mkali kama ambavyo uliwaona beki Kouassi Yao na kiungo mshambuliaji Maxi Nzengeli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: