Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashine mpya Yanga yakabidhiwa jezi ya Bangala

Yao Kouassi Attohoula 4 Yao kouassi Attohoula

Thu, 20 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi Mpya wa kulia wa klab ya Yanga raia wa Ivory Coast Yao Kouassi amepewa jezi namba 4.

Jezi namba 4 hapo awali ilikuwa ikivaliwa na Kiungo Mkabaji raia wa Congo DR Yannick Bangala.

Yao Attohoula amesajiliwa na Yanga kutokea ASEC Mimosas na kitendo hicho kinaashiria mwanzo mpya kwa Yannick Bangala anaetajwa kutolewa kwa Mkopo Singida FG.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: