Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Tutamuaga Mkude kama tulivyoahidi, ishu ya jezi yake...! (+Video)

Jonasmkude20 Kiungo Jonas Mkude

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa inaonekana kama ni zoezi gumu kwa Simba kwenda kumchukua Mchezaji aliedumu kikosini kwao kwa muda mrefu (miaka 13) Jonas Mkude ambae ameshasajiliwa Yanga na kuja kumuaga kwa heshima.

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema wao kama Klabu dhamira yao iko palepale juu ya kumuaga Mkude.

Aidha katika suala la kuistaafisha jezi namba 20 iliyokuwa ikivaliwa na Kiungo huyo itategemea na maamuzi ya vikao.

Msikilize Mangungu hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: