Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Tumefanya maamuzi magumu kuachana na Mkude (+Video)

Mangungu X Mkude Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Mkude akiachana na Simba na kupewa "Thank You", Watani wa jadi Yanga wamemtambulisha.

Sasa Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu nae ametoa ya moyoni kuhusiana na sakata la mchezaji huyo;

“kwanza niseme tu kwamba ni wachezaji wachache sana ambao wameweza kuitumikia Simba kwa muda mrefu sana, mchezaji yeyote ambae mnamchukua kwenye pick kutumikia hata misimu mitatu ni kazi sana, tunashukuru kwamba yeye ameweza kumantain kwa kipindi hiko chote miaka kumi na tatu, ilikuwa ni uamuzi mgumu” amesema mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu juu ya ugumu waliopitia kama klabu kuachana na mchezaji wao wa zamani Jonas Mkude

Msikilize Mangungu akizungumza hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: