Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Mapato ya Klabu pekee hutoboi (+Video)

Hersi Mangungu Pic Data Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said na Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati kila kukicha vilabu vikipigiwa kelele kuhakikisha vinajiendesha pasipo kutegemea wafadhili.

Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amesema ni ngumu kwa Klabu kujiendesha kupitia mapato pekee pasipo pesa za ziada.

Msikilize Mangungu akieleza ugumu huo kwenye Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: