Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Hakuna mchezaji ninaemtamani kutoka Yanga (+Video)

Yanga X Mangungu Murtaza Mangungu awakataa Wachezaji wa Yanga

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga ikibeba mataji ya ndani mara mbili mfululizo na kuaminika kuwa ndio Timu yenye wachezaji wa viwango kwa sasa hapa Tanzania.

Hali ni tofauti kwa watani zao wa jadi Klabu ya Simba SC ambapo kupitia Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambae aliulizwa anamtamani mchezaji gani kutokea Yanga na majibu yake yaliwashangaza wengi.

Msikilize mangungu kwenye Video hapa chini akijibu swali hilo;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)



Je Mwenyekiti yuko sahihi? tupe maoni yako
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: