Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara awapa za uso Mo Dewji, Barbara "Hamtutoi mchezoni"

Manara Mo Barbara Manara awapa za uso Mo Dewji, Barbara, asema "Kiki imebuma"

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana kuibuka kwa Tajiri Mo Dewji na kutweet post ambazo zilionekana kuwachanganya watu na wapenda Soka.

Aliekuwa msemaji wa Simba SC na Klabu ya Yanga Haji Manara ameibuka na kuandika ujumbe mrefu kwa tajiri huyo.

Kupitia ukiurasa wake wa Instagram Manara ameandika;

Wananchi mlioniamini na mnaoendelea kuniamini kama Master wa Propaganda za Siasa na football za Nchi hii, Puuzeni zile Tweet za kichale chale kule.

Zinatengenezwa kusudi ili Watuset na tuone wana mgogoro flani wa kiungozi, nia yao tubweteke, Wanachosahau mimi ndio nilowafundisha hiyo michezo.

Yaan nikae Darasani China kwa miaka kujifunza hayo mambo, halafu Mudi atufundishe kwa fix za kunyimwa VIP Tickets na Watu anaowalipa mwenyewe kama CEO wao?

Wao wakishakuwa tu na Tickets cha kwanza anaulizwa yeye ngapi Mzee tukupe? Au hawajui I was there na I know everything kuhusu wao! Nawajua kuliko wanavyojijua.

Yanga hii haiwezi kuhangaishwa na Vitweet tweet vya Propaganda nyepesi nyepesi za Babura na Mudi ili watujaze uzubaifu,Tupo Gado kuliko Jana dadadeki.

Imebuma, Makolo Pyeeeeeeeeeeeeeee

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: