Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga Simba SC, Mutale nje wiki mbili

Mutale 8Gc.jpeg Joshua Mutale

Fri, 23 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Daktari wa Simba SC Edwin Kagabo amesema kiungo mshambuliaji Joshua Mutale atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kuuguza jeraha lililokuwa linamsumbua.

Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC Agosti 18.

Dkt. Kagabo amesema Mutale hajapata majeraha makubwa lakini ili kumlinda asiumie zaidi atakuwa nje ya uwanja kwa muda huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: