Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIGIKUUNBC: Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza vs JKT TZ

Yanga Kikosi VsJKT Kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga leo Agosti 29 wanashuka Dimbani kucheza mchezo wao wa Ligi dhidi ya JKT Tanzania.

Yanga wamecheza mchezo mmoja wa Ligi dhidi ya KMC ambao waliibuka na ushindi wa mabao 5-0.

JKT Tanzania wamepanda daraja kutoka Championship msimu huu na mchezo wao wa kwanza waliibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Namungo.

Yanga wanahitaji alama tatu ili kijiweka kileleni mwa msimamo wa Ligi sambamba na timu za Azam FC na Simba SC.

Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: