Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kyombo na "Thank You" Simba ni suala la muda tu

Habib Kyombo Ccc Habib Kyombo

Fri, 7 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba tayari imeshampa "THANK YOU" Mshambuliaji wake raia wa Tanzania Habibu Kiyombo na kilichobaki ni kumtangaza tu.

Habibu alifanya vizuri 2021-22 akiwa na Mbeya Kwanza, ameshindwa kuwaburudisha Wanasimba 2022-23.

Kwa sasa Klabu zimeshaanza kupeleka ofa Kwa Mshambuliaji huyo , huku akikataa ofa ya Mashujaa FC iliyopanda ligi msimu huu Kwa kuwashusha Mbeya City.

Inaelezwa kuwa matamanio ya nyota ni kucheza Kimataifa na kwa sasa nyavu zake amezitupa Kwa Singida Fountain Gate FC ambapo Bado mazungumzo hayajaanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: