Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwanini Jonas Mkude Yanga ? Chukua hii

Mkude Yanga 8040736 Usajili mpya Klabu ya Yanga, Jonas Mkude

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wengiwakiona kama vile usajili wa Kiubgo Jonas Mkude katika Klabu ya Yanga hauna maana wala faida kwa Yanga bali ni kumkomoa mtani ukizingatia Yanga imesheni utajiri wa Viungo wa kati.

Basi hiki ndicho kilichompeleka Jonas Mkude kwa matajiri wa Jangwa Young Africans SC.

Jonas Mkude anaenda kuwapa Yanga wasifu ama 'profile' ya namba 6 ambaye pale Yanga walikuwa na uhaba naye. Kwa maana ya Holding/Deep lying ambayo alikuwa anaioffer Khalid Aucho peke yake.

Zawadi Mauya, Yannick Bangala, Sureboy na Mudathir Yahya hawana wasifu wa kuchezesha timu kutokea chini.

Ndio maana alipokuwa anakosena Aucho msimu uliopita, pengo lake lilikuwa linaonekana licha ya timu kuwa na 'namba 6' wengine takribani 4. Mkude anakwenda kuwapa uhakika wa maisha bila ya Aucho msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: